
Kama mtoto atanyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa, na kuendelea kunyonyeshwa kwa miezi sita bila kumpa chakula kingine, hii itampa mtoto kinga thabiti ya mwili dhidi ya magonjwa hatari yanayotishia uhai wao. Magonjwa haya ni kama Nimonia na kuhara ambayo yanaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto.
0 comments:
Post a Comment