Monday, November 13, 2017

Ugonjwa wa mtoto kuzaliwa na nafasi kwenye uti wa mgongo unaitwa Spina Bifidaugonjwa huu hutokana na upungufu wa vitamin B9 (foliac acid).

mama mjamzito hutakiwa kutumia vitamin B9 wakati wa ujauzito au wakati anpopanga kuwa mjamzito. vit hivi huzsaidia kukuwa kwa neva na ubongo mwilini.Dalili ya kawaida ya upungufu wa Vit B9, Vitc ni pamoja na kuharisha, anemia na udhaifu au kupumua kwa taabu, uharibifu wa neva (mishipa ya fahamu)na mwili kuwa una kufa ganzi matatizo ya mimba, kuchanganyikiwa akili, usahaulifu au kumbukumbu kuwa ndogo, majonzi ya akili (depression), au vidonda katika ulimi, midomo , maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo kwenda haraka , kuwashwa, na matatizo ya kitabia.

Kiwango cha chini cha Vit B9 na Vt C pia husababisha mkusanyiko homocysteine. DNA zisip okarabati huharibika na hii inaweza kusababisha maendeleo ya kansa.

Vyakula vyenye vitamini hii ni mboga za majani ya kijani, mbazi, choroko
Mama zingatia maelezo ya clinic ni muhimu. Kwa mengi zaidi tufuatilie kupitia www.afyanauzazi.blogspot com au tuffollow insta @afyanauzazi

Related Posts:

  • FANYA HIVI KUSAFISHA UUME.Usafi Ni afya, imezoeleka Mara kwa Mara kutolewa mafunzo ya namna ya kuswafi uke lakini pasipo kusisitiza kuwa uume nao unapaswa kusafishwa ili kuweka hali ya usafi Na kuepusha mambo mengi ikiwapo magonjwa. Kwako mwanaume Fan… Read More
  • MWANAMKE ALIYEBAKWA SIKU YA NDOA YAKE.Kisa hiki cha kusisimua kitakufanya ujifunze jambo, soma mpaka mwisho ujifunze. Wakati Terry Gobanga, wakati huo akiitwa Terry Apudo alipotoweka katika harusi yake hakuna mtu aliyedhani kwamba alitekwa nyara ,kubakwa na kutuw… Read More
  • FAHAMU KUHUSU FISTULA.fahamu kuhusu fistula Fistula ni nini?  Fistula ni shimo ambalo hutokea kati kati ya kibofu cha mkojo na uke au kati kati ya njia ya haja kubwa na uke wa mwanamke ambaye amejifungua kwa shida. Shimo hutokea pale amb… Read More
  • MUDA GANI UKAE KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA!? kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako)na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiu… Read More
  • USILE VYAKULA HIVI IKIWA UNAJIANDAA KUBEBA UJAUZITO.Hivi ni baadi ya vyakula ambavyo mama mjamzito au mwanamke anaejiandaa kubeba ujauzito HARUHUSIWI kuvitumia katika kipindi cha ujauzito. *Nyama mbichi au iliyopikwa lakini haikuiva vizuri, nyama za aina hii husemeka… Read More

0 comments:

Post a Comment

Dondoo Zilizosomwa Sana hapa leo..!!

VIDEOS BAR