hiki ni moja ya
kitu nilichopenda kupita kiasi, sijui nani alilivumbua hili wazo, lazima
alikua mwanamke. Zimejaa kibao kwenye maduka ya watoto, (elfu kumi hadi
15)ila unapochagua size kuwa mwangalifu usijesahau ukachagua size yako
ya kawaida wakati maziwa yamekua.
0 comments:
Post a Comment