Tuesday, June 27, 2017

Mtoto mmoja nchini Syria ameenda kulala kwenye makaburi ya wazazi wake, ambao waliuawa katika shambulizi la bomu lilotokea siku ya sikukuu ya Eid nchini humo.

Mungu mfanyie wepesi mtoto huyu Na umtie imani ya kuyashinda Maputo.
Amen

0 comments:

Post a Comment

Dondoo Zilizosomwa Sana hapa leo..!!

VIDEOS BAR