Tuesday, June 27, 2017




wengi wanajiuliza mengi kuhu UZAZI SALAMA je unafahamu ni nini? ni vitu gani ungependa kufahamu kuhusiana na UZAZI SALAMA, weka swali lako hapa chini tufahamishane zaidi maswala ya UZAZI SALAMA .

3 comments:

  1. Habari ya jioni,na pole kwa majukumu ya kazi.
    Swali langu,naomba kujua/kufahamu ikiwa ntameza morning after pill kabla ya kukutana na mwenzangu inakueje?

    ReplyDelete
  2. Mm ni mjamzito wamiez mitatu lakini dam zinatoka wakati tu nitakapoenda hajandogo ?

    ReplyDelete
  3. Mm ni mjamzito lakini naona dam nikienda kukojoa na siumwi na chochote

    ReplyDelete

Dondoo Zilizosomwa Sana hapa leo..!!

VIDEOS BAR