Friday, July 21, 2017

Mwanamitindo Na miss Tanzania 2001 Millen Magesse amejifungua mtoto Wa kiume.

Baada ya kitamani mtoto kwa mida mrefu hatimaye mwanamitindo huyo amejifungua mtoto Wa kiume .

Aliwahi kusema ya kwamba kutokana Na ugonjwa Wa uvimbe alionao kwenye kizazi itamuwia vigumu kuweza kupata mtoto lakini hatimaye ukuu Wa Mungu umejitokeza kwake Na kumsaidia kupata mtoto Wa kiume

Hongera Sana Millen, Mungu akukuzie mwanao.

0 comments:

Post a Comment

Dondoo Zilizosomwa Sana hapa leo..!!

VIDEOS BAR