Friday, June 30, 2017

Wanawake wamegawanyika katika makundi makubwa 4 linapokuja suala la siku za hedhi

1.Mzunguko mfupi yaani siku 22

2.Mzunguko wa kati yaani siku 28

3.Mzunguko mrefu yaani siku 35

4.Na mzunguko abnormal siku 15
Kama mwanamke ana mzunguko wa siku 22 inabidi afanye kama ifuatavyo:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake.

Hivyo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye anamzunguko wa siku 22.

Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Kama mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day.

Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko wa siku 28.

Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Kama mwanamke ana mzunguko wa siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za mzunguko

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 35th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day.

Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana mzunguko wa siku 35.

Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!

Kama mwanamke ana abnormal menstruation cycle ya siku 15

BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstruation cycle kama kawaida:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15.

Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day.

Inamaana kwamba, the 1st day of her bleeding ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye anamenstruation cycle ya siku 15.

Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa.

Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed.Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

#kwaswali lolote waweza uliza Na utajibiwa. Maoni pia yanakaribishwa.

Related Posts:

  • MWANAMKE ALIYEBAKWA SIKU YA NDOA YAKE.Kisa hiki cha kusisimua kitakufanya ujifunze jambo, soma mpaka mwisho ujifunze. Wakati Terry Gobanga, wakati huo akiitwa Terry Apudo alipotoweka katika harusi yake hakuna mtu aliyedhani kwamba alitekwa nyara ,kubakwa na kutuw… Read More
  • MUDA GANI UKAE KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA!? kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako)na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiu… Read More
  • ZIFAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA UGUMBA KWA MWANAMKE.  SABABU ZIPI ZINAZOLETA TATIZO LA UGUMBA (INFERTILITY) Kwa wanawake - Tatizo la ugumba linaweza kutokea wakati wa Yai au kiumbe kilichomo ndani ya mfuko (uterus) wa uzazi kushindwa kukua hadi kufikia kuwa mtoto. - M… Read More
  • FANYA HIVI KUSAFISHA UUME.Usafi Ni afya, imezoeleka Mara kwa Mara kutolewa mafunzo ya namna ya kuswafi uke lakini pasipo kusisitiza kuwa uume nao unapaswa kusafishwa ili kuweka hali ya usafi Na kuepusha mambo mengi ikiwapo magonjwa. Kwako mwanaume Fan… Read More
  • MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA HII ni hali ambayo mwanamke anakuwa na hamu ya kufanya tendo  la ndoa lakini anapata ugumu kutokana na maumivu makali anayopata. Hali hii inatokana na kubana au kukaza kwa misuli ya uke lakini pia  inaweza kusab… Read More

0 comments:

Post a Comment

Dondoo Zilizosomwa Sana hapa leo..!!

VIDEOS BAR